Pumzika, Furahia, na Uchome Nyama na Familia!

⭐⭐⭐⭐

4.3 Stars

Google Reviews

⭐⭐⭐⭐

4.3 Stars

Google Reviews

Kuogelea

Kuchoma Nyama

Kula na Kunywa

Michezo

  • Vyumba vizuri na huduma nzuri

  • Buffet ya chakula cha asubuhi

  • Swimming pool na uwanja wa michezo

  • Jiko la kuchoma nyama na familia masaa 24

  • Eneo kubwa, safi, tulivu, na salama

Utakavyopata Chumbani

  • Wi-Fi yaIntaneti bure

  • Huduma ya chakula chumbani au kwenye mgahawa wetu

  • Simu za mezani ili utupate kwa haraka bila kutumia simu yako

  • TV zenye chaneli za kubadili mwenyewe

  • Maji ya moto ya kuoga

  • Chai na Kahawa bure

  • Microwave Oven ya kupasha chakula

  • Mataulo na Duvet

  • Feni na AC zilizo nzima na hazitoi harufu yoyote

  • Pia kuna generator nje ili umeme ukikatika familia isisikie joto na starehe ziendelee

Mtakavyopata Chumbani

Bei zikoje?

Bei zikoje?

Vyumba

TZS 55,000 / siku

Inajumuisha kulala, chakula cha asubuhi, na kuogelea kwa wanafamilia wawili

Vyakula na Vinywaji

TZS 15,000 / mlo mmoja*

Makadirio ya mlo wa mtu mmoja mchana au jioni. Ona menyu.

Vyumba

TZS 55,000 / siku

Inajumuisha kulala, chakula cha asubuhi, na kuogelea kwa wanafamilia wawili

Vyakula na Vinywaji

TZS 15,000 / mlo mmoja*

Makadirio ya mlo wa mtu mmoja mchana au jioni. Ona menyu.

Chomeni Nyama kama Familia

TZS 100,000 / Jiko / Siku

Mtapewa jiko mchome. Mkaa na nyama mtaleta kwa wingi mpendavyo.

Chomeni masaa 24.

Chomeni Nyama kama Familia

TZS 100,000 / Jiko / Siku

Mtapewa jiko mchome. Mkaa na nyama mtaleta kwa wingi mpendavyo.

Chomeni masaa 24.

Tuko huku

Stendi

ya Mingoi

Vibao

Viko njiani

Unafika tu

Hupotei

Tuko huku

Stendi ya Mingoi

Ipo Mapinga

Vibao

Viko njiani

Unafika tu

Hupotei

Kama familia iko tayari bofya hapa kuweka vyumba

Vyumba ni 12 tu

Kushikilia vyumba utahitaji kutoa angalau nusu ya gharama ya vyumba

Wahi tarehe yenu

Haswa miezi ya sikukuu na likizo

Kama mko tayari bofya hapa kuweka vyumba

Vyumba viko 12 tu

Kushikilia vyumba utahitaji kutoa angalau nusu ya gharama ya vyumba

Wahi tarehe yenu

Haswa miezi ya sikukuu na likizo

© 2023, MaTemu Square. All Rights Reserved

© 2023, MaTemu Square. All Rights Reserved