Angalizo:
Mfumo huu uko kwa lugha ya kiingereza kwa sasa. Tunaomba radhi kwa usumbufu. Utakapohitaji, tafadhali bofya hapa kupata tafsiri ya maneno muhimu kwa lugha ya Kiswahili.
Tafsiri ya Maneno Muhimu
Mpangilio ni A (juu) - Z (chini)
Adults - Watu Wazima
Arrival Date / Check-in - Tarehe ya Kufika / Kuingia
Arrival Time / Check-in Time - Muda wa Kufika / Kuingia
Book Now - Weka Sasa
Cancellation Policy - Sera Kuhusu Kughairisha
Check Availability - Angalia Upatikanaji
Children - Watoto
Confirm Booking - Thibitisha Uwekaji
Confirm Email - Thibitisha Barua Pepe
Continue - Endelea
Departure Date / Check-out - Tarehe ya Kuondoka / Kutoka
Departure Time / Check-out Time - Muda wa Kuondoka / Kutoka
Email Address - Barua Pepe
First Name - Jina la Kwanza
Guest - Mgeni
Have a promotion code? - Una msimbo wa promosheni?
Infants - Watoto Wachanga
Last Name - Jina la Mwisho
Night - Usiku
Non-Resident - Sio Mkazi
Number of - Idadi ya
Occupancy - Ukaaji
Pay 50% - Lipa 50% (nusu ya jumla)
Pay Full - Lipa 100% (jumla nzima)
Please select your preferred payment option - Tafadhali chagua njia ya malipo unayopendelea
Privacy - Faragha
Provide your Card details - Toa maelezo ya Kadi yako
Provide your Mobile number - Toa maelezo ya Nambari yako ya Simu
Resident - Mkazi
Skip this step - Ruka hatua hii
Special Request - Ombi Maalum
Summary - Muhtasari
Terms and Conditions - Sheria na Masharti
Total - Jumla
Years - Umri / Miaka
Years and above - Umri huu au zaidi yake
Years and below - Umri huu au chini yake
Jisikie huru kutupigia simu ukihitaji msaada, +255755408763