Ni vema kuona picha kabla hujaamua kuja MaTemu Square na familia

Pale unapohitaji kujiridhisha kabla ya chochote

Pale unapohitaji kujiridhisha kabla ya chochote

Kifungua Kinywa

Kuogelea

Michezo

Kula na Kunywa

Kifungua Kinywa

Kuogelea

Michezo

Kula na Kunywa

Ona Ndani ya Vyumba

Ona Nje ya Vyumba

Huhitaji likizo ndefu!

Pumzika nje na familia wikiendi hii

Toroka mawazo ya mihangaiko

na ratiba za kila siku

Bila kusafiri mbali sana,

au kutumia hela nyingi kwa idadi yenu

Gharama Rafiki

Muda Mzuri

Safari Fupi

Furaha ya Familia

Na mkipenda kuchoma nyama kama familia ...

ruksa kabisa

Yote hii ni ndani ya...

Usijiulize itakuwaje, ona wateja wanasemaje

Zimekusanywa kutoka Google Reviews

Huhitaji likizo ndefu!

Pumzika nje na familia

wikiendi hii

Toroka mawazo ya mihangaiko

na ratiba za kila siku

Bila kusafiri mbali sana,

au kutumia hela nyingi kwa idadi yenu

Gharama Rafiki

Muda Mzuri

Safari Fupi

Furaha ya Familia

Na mkipenda kuchoma

nyama kama familia ...

ruksa kabisa

Yote hii ni ndani ya...

Bei zikoje?

Bei zikoje?

Vyumba

TZS 55,000 / siku

Inajumuisha kulala, chakula cha asubuhi, na kuogelea kwa wanafamilia wawili

Vyakula na Vinywaji

TZS 20,000 / mlo mmoja*

Makadirio ya mlo wa mtu mmoja mchana au jioni. Ona menyu.

Vyumba

TZS 55,000 / siku

Inajumuisha kulala, chakula cha asubuhi, na kuogelea kwa wanafamilia wawili

Vyakula na Vinywaji

TZS 20,000 / mlo mmoja*

Makadirio ya mlo wa mtu mmoja mchana au jioni. Ona menyu.

Chomeni Nyama kama Familia

TZS 100,000 / Jiko / Siku

Mtapewa jiko mchome. Mkaa na nyama mtaleta kwa wingi mpendavyo.

Chomeni siku nzima.

Chomeni Nyama kama Familia

TZS 100,000 / Jiko / Siku

Mtapewa jiko mchome. Mkaa na nyama mtaleta kwa wingi mpendavyo.

Chomeni siku nzima.

Tuko huku

Stendi ya Mingoi

Barabara

Inayopitika

Vibao

Viko njiani

Unafika tu

Hupotei

Tuko huku

Stendi ya Mingoi

Ipo Mapinga

Barabara

Inayopitika

Vibao

Viko njiani

Unafika tu

Hupotei

Je, umelipenda eneo?

Unajua idadi ya watu unayotarajia kuja nayo?

Na, umeshajadili tarehe ya kufika nao?

Kama umejibu ndio

katika maswali yote matatu bofya hapa kuweka vyumba

Kushikilia vyumba utahitaji kutoa angalau nusu ya gharama ya vyumba

Wahi tarehe yenu

Haswa miezi ya sikukuu na likizo

Vyumba ni 12 tu

Matangazo yetu yanaonwa na maelfu ya watu na familia zao kila siku

Na wanaweka vyumba hata miezi kabla ili kuepuka kukosa

Msikawie kufanya maamuzi, kuepuka usumbufu.

Je, umelipenda eneo?

Unajua idadi ya watu unayotarajia kuja nayo?

Na, umeshajadili tarehe ya kufika nao?

Kama umejibu ndio katika maswali yote bofya hapa kuweka vyumba

Kushikilia vyumba utahitaji kutoa angalau nusu ya gharama ya vyumba

Wahi tarehe yenu

Haswa miezi ya sikukuu na likizo

Vyumba ni 12 tu

Matangazo yetu yanaonwa na maelfu ya watu na familia zao kila siku

Na wanaweka vyumba hata miezi kabla ili kuepuka kukosa

Msikawie kufanya maamuzi, kuepuka usumbufu

© 2023, MaTemu Square. All Rights Reserved

© 2023, MaTemu Square. All Rights Reserved