JE, UMECHOKA HEKA HEKA ZA KILA SIKU NA UNATAMANI MAPUMZIKO NA FAMILIA?
SahauUchovuwa mihangaiko ukitulia na Familiambali na nyumbani,
Bila likizo ndefu
Gharama rafiki
na Huhitaji kusafiri 50KM kufika
Ona video,
Ukilipenda eneo waoneshe na familia
Gharama rafiki na
Huhitaji kusafiri 50KM kufika
Ona video, Ukilipenda eneo waoneshe na familia
Kifungua Kinywa
Kuogelea
Michezo
Kula na Kunywa
Kifungua Kinywa
Kuogelea
Michezo
Kula na Kunywa
Ni kweli Mzazi
Inawezekana majukumu yako kila unapoamkasiomepesi
Una mihangaiko ya kuwahi, bili za kulipa, na akiba za kuweka kila mwezi
Kila mtu anakutegemea kwa kipato chako
Na bado una mpango wa kujenga kesho bora ya watoto wako
kabla hujachoka au kustaafu
Na kama una mwenza pembeni yako
Si ajabu anajiuliza lini mtapata muda wa pamoja?
...bila wewe kupokea simu za changamoto...
zinazoibuka kila unapotatua moja...
Muda wa kupumzika.
Muda wa kuwa karibu na watoto
...kujua wao wana matamanio gani juu ya maisha yao,
si ajabu yamebadilika.
Muda wa kuoanisha ndoto zenu na zao
Huku mkiburudika
Katika mazingira tulivu,
mbali na kelele za kila siku.
Mbali na ratiba za majukumu na nyumbani
Kusahau uchovu na kero za kutwa
Kurudisha tena nguvu ya kupambana
...na kuongeza ukaribu wa familia
Bila kusafiri umbali mrefu
Na bila kutumia hela nyingi sana...
Kama tunaongea lugha moja,
basi hii ni ya kwako
Kama tunaongea lugha moja,
basi hii ni ya kwako
Huhitaji likizo ndefu!
Pumzika nje na familia wikiendi hii
Jihisi mchangamfu tena
Mlale kwa siku moja, au mbili kulingana na mipango yako
Gharama Rafiki
Muda Mzuri
Safari Fupi
Furaha ya Familia
Na mkipenda kuchoma nyama kama familia ...
ruksa kabisa
Yote hii ni ndani ya...

Huhitaji likizo ndefu!
Pumzika nje na familia
wikiendi hii
Jihisi mchangamfu tena
Mlale kwa siku moja,
au mbili kulingana na mipango yako
Gharama Rafiki
Muda Mzuri
Safari Fupi
Furaha ya Familia
Na mkipenda kuchoma
nyama kama familia ...
ruksa kabisa
Yote hii ni ndani ya...

Bajeti
Bajeti
Jaza idadi ya watu unayofikiria kuja nayo kupata makadirio
Kila chumba kinachukua wanafamilia wawili. Bei kwa usiku mmoja ni TZS 55,000
Jumla: TZS 0
Jumla ya milo yote miwili. Kila mlo wa mtu mmoja ukiwa TZS 20,000. Ona menyu .
Jumla: TZS 0
Haya ni makadirio tu. Matumizi yako yatatofautiana.
Hiyo ni wastani wa mteja asiyechukua pombe kali,
japo zinapatikana pia
🥂😉
Chomeni na nyama mkitaka
Chomeni na nyama mkitaka
Tuko huku
Stendi ya Mingoi
Barabara
Inayopitika
Vibao
Viko njiani
Unafika tu
Hupotei
Tuko huku
Stendi ya Mingoi
Ipo Mapinga
Barabara
Inayopitika
Vibao
Viko njiani
Unafika tu
Hupotei
Mpaka sasa si ajabu kuna mwanafamilia analifahamu
ila hajakutumia tu,
...na wewe unatamani kupumzika hapa na familia yako wikiendi moja.
Bofya sasa kuisisimua familia WhatsApp
Ukibonyeza utapelekwa WhatsApp kuchagua wa kumtumia
Mpaka sasa si ajabu kuna mwanafamilia analifahamu
ila hajakutumia tu,
...na wewe unatamani kupumzika hapa na familia yako wikiendi moja.
Bofya sasa kuisisimua familia WhatsApp
Ukibonyeza utapelekwa WhatsApp kuchagua mtu au kundi la kutumia
Ona Utakachotuma kupitia WhatsApp
Leo nimekutana na hili eneo mtandaoni, linaitwa MaTemu Square. Ni pazuri kwa kupumzika kama familia hata kwa wikiendi moja. Kama utapenda kuona picha zake bofya hapa https://landing.matemusquare.com/90264bbf-78072f0c-9e153403 .
Mwonekano wa Tovuti



Ona Utakachotuma kupitia WhatsApp
Leo nimekutana na hili eneo mtandaoni, linaitwa MaTemu Square. Ni pazuri kwa kupumzika kama familia hata kwa wikiendi moja. Kama utapenda kuona picha zake bofya hapa https://landing.matemusquare.com/90264bbf-78072f0c-9e153403.
Mwonekano wa Tovuti



Create Your Free Account